Mwongozo Wa Biashara Ya Mtandao Ya Kampuni Ya Green World Kwa Afrika Mashariki

Namna Ya Kuwasaidia Wanachama Uliowasajili

chakula na wanachama wa green worldKuwaleta watu wapya wajiunge na mtandao wako wa biashara ni mwanzo wa shughuli. Jukumu linalofuata ni kuwafundisha na kuwasaidia ukiungana na wanachama walio juu yako. Wape moyo. Wape sifa zao. Hakikisha kila wakati unakuwepo kujibu maswali yao. Wafundishe umuhimu wa kufuata mpango wa kupata mafanikio na Green World wakifuata njia zilizoandikwa kwenye maandishi ya kampuni na kwa kutumia njia ambazo wewe binafsi umejifunza kutokana na uzoefu wako. Ukiwafundisha kuyafanya yale ambayo wewe umeyatumia kufanikiwa, utakuwa unaendeleza nguvu zako na kufanikiwa zaidi.


Mkutano Wa Kwanza






<<<< MWANZO